Dimitris Avramopoulos
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Dimitris Avramopoulos (alizaliwa 6 Juni 1953) ni mwanasiasa wa Ugiriki kutoka chama cha kihafidhina cha New Democracy, na alikuwa balozi wa kitaalamu. Amehudumu katika nafasi mbalimbali za juu za baraza la mawaziri, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Ulinzi wa Taifa, na alikuwa Meya wa Athens kuanzia mwaka 1995 hadi 2002. Pia alihudumu kama Kamishina wa Umoja wa Ulaya wa Masuala ya Uhamiaji, Masuala ya Ndani na Uraia katika Tume ya Juncker kati ya mwaka 2014 na 2019.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dimitris Avramopoulos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |