Nenda kwa yaliyomo

Hans Vanaken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hans Vanaken

Hans Vanaken (matamshi ya Kiholanzi: [ˈɦɑns vɑnˈaːkə(n)]; alizaliwa 24 Agosti 1992) ni mchezaji wa soka wa kulipwa wa Ubelgiji anayecheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Club Brugge ya Belgian Pro League, pamoja na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Kazi ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Vanaken alianza maisha yake ya soka katika timu ya vijana ya Lommel United, kabla ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na akademi ya PSV Eindhoven mwaka 2002, baada ya Lommel United kutangazwa kuwa imefilisika.

Mwaka 2008, alirejea katika klabu ya Lommel iliyokuwa imefanyiwa marekebisho, na mwaka 2010 alicheza mchezo wake katika kikosi cha wakubwa cha klabu hiyo katika Belgian Second Division.

Baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika michezo kadhaa akiwa Lommel, alivutia klabu kadhaa za ligi ya juu. Hatimaye, mwaka 2013, alijiunga na Lokeren.[1][2]

  1. ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2026-05-18. Iliwekwa mnamo 2026-08-14.
  2. ↑ https://www.rbfa.be/en/international/6757/career
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans Vanaken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.