Nenda kwa yaliyomo

kome

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

kome

  1. Ni kiumbe wa baharini mwenye gamba mbili linalofunguka na kufung hushikamana na miamba au chini ya bahari.

Mfano

[hariri]
  • Kome hushikamana na miamba ya bahari.

Tafsiri

[hariri]