Nenda kwa yaliyomo

Waholoholo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yao ya mwanamke ya mwaka 1900 hivi.

Waholoholo (pia: Wakalanga) ni kabila la Kibantu yenye asili mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (mkoa wa Tanganyika, hasa kwenye mji wa Kalemie) waliolowea pia magharibi mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mkoa wa Kigoma, hasa wilaya ya Uvinza).

Walikadiriwa kuwa 40,000 hivi. Lugha yao ni Kiholoholo.

  • Clark, John Desmond (1969). Kalambo Falls prehistoric site, Volume 1. CUP Archive.
  • Finke, Jens (2002). Rough guide to Tanzania. Rough Guides. ISBN 1-85828-783-9.
  • Foden, Giles (2006). Mimi and Toutou's Big Adventure: The Bizarre Battle of Lake Tanganyika. Random House Digital, Inc. ISBN 1-4000-7526-2.
  • "Holoholo Information". University of Iowa. 3 Novemba 1998. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2012. Iliwekwa mnamo 2011-12-11.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "Holoholo A language of Democratic Republic of the Congo". Ethnologue. Iliwekwa mnamo 2011-12-12.
  • Roberts, Allen F. (1991). "History, Ethnicity, and Change in the Christian Kingdom of Southeastern Zaire". Katika Leroy Vail (mhr.). The Creation of Tribalism in Southern Africa. University of California Press. ISBN 0-520-07420-3.
  • Reefe, Thomas Q. (1981). The rainbow and the kings: a history of the Luba Empire to 1891. University of California Press. ISBN 0-520-04140-2.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waholoholo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.